KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI SEKTA ZA UJENZI, TEHAMA, NA UZALISHAJI
Ubalozi kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania unadhamiria kuandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji katika sekta za Ujenzi, TEHAMA na Ujenzi tarehe 28 Aprili 2025 Moroni. Read More